TFF Awards 2024: Hivi hapa vipengele na Majina ya wanaoshindania tuzo
Sisti Herman
July 24, 2024
Share :
Kamati ya tuzo za Shirikisho la soka nchini limetoa vipengele na majina ya wanamichezo wanaoshindania tuzo za Shirikisho hilo (TFF Awards 2024) zitakazofanyika Agosti 8 kwenye ukumbi wa Super Dome Masaki jijini Dar es Salaam.
Picha chini ni vipengele na majina ya wanaoshindania tuzo hizo;