TFF kushirikiana na Saudia
Sisti Herman
December 21, 2023
Share :
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeingia mkataba wa ushirikiano na Saudia Arabia utakaogusa maeneo mbalimbali ya utawala, ufundi, timu za Taifa, waamuzi, miundo mbinu, mashindano na ligi,mpira wa miguu wa wanawake, soka la vijana, soka la ufukweni na futsal.