TFF Yaingia mkataba na Beta Tq kwa ajili ya kukusanya data za ligi.
Joyce Shedrack
April 21, 2026
Share :
Shirikisho la soka nchini TFF na Bodi ya Ligi leo hii wameingia makubaliano na kampuni ya Betatq kupitia bidhaa zake za Soka Metrics na Soka Fantasy kwaajili ya kukusanya data.

Kampuni hiyo sasa ndio itayokuwa inamiliki katika kutoa data zote za ligi kuu ya Tanzania.





