pmbet

TFF Yamsafisha Ahmed Ally.

Joyce Shedrack

April 19, 2025
Share :

Baada ya Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ali Kamwe kukutwa na makosa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), hatimaye TFF wamemsafisha Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally ambaye nae alitiwa hatiani.

Ahmed Ally" malengo ni kucheza Fainali Michuanano ya Afrika
Ahmed alishtakiwa na Sekretarieti ya TFF akituhumiwa kwa kosa la kuchochea umma kwa ujumla kinyume na Kanuni 73(4) ya Kanuni za Maadili ya TFF Toleo la Mwaka 2021, lakini baada ya kupitia maelezo ya pande zote husika pamoja na vielelezo vilivyowasilisha mbele yake, Kamati ilibaini kuwa hakukuwa na ushahidi wa kutosha kumuingiza hatiani kwa kosa aliloshtakiwa nalo na imemuachia huru.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet