Thamani ya Yanga ni Bilioni 100 mara ya tano ya Simba.
Joyce Shedrack
September 7, 2025
Share :
Alex Mgongolwa Mwenyekiti wa Kamati ya Mabadiliko ya Yanga ametangaza kuwa thamani ya klabu ya Yanga ni BILIONI 100.
MGONGOLWA ametangaza thamani ya klabu ya Yanga kwa mujibu wa moja ya kampuni ambayo waliipatia kufanyia kazi Tafiti kufahamu thamani ya timu hiyo ni BILIONI 100.