The Weekend kuufungua mwaka na Album
Sisti Herman
January 8, 2024
Share :
Mwanamuziki kutoka nchini Canada TheWeeknd anatarajia kutoa album yake mpya hivi karibuni ingawa bado hajaweka wazi jina la album hiyo.
The Weeknd amethibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram na X (Twitter) kwa ku-share Cover za album zake mbili ‘After Hours’ & ‘Dawn FM’ na kisha kuweka alama ya kiulizo akimaanisha ipi itafuata.