Thiago Alcantara astaafu rasmi kucheza soka
Sisti Herman
July 7, 2024
Share :
Aliyekuwa kiungo wa kati wa klabu za Bayern Munich, Liverpool, Barcelona na timu ya Taifa ya Hispania Thiago Alcantara ametangaza kustaafu rasmi soka.
Kwenye utumishi wake katika mchezo huu maarufu zaidi duniani Thiago ameshinda jumla ya makombe haya;
🏆 x2 Champions League
🏆 x2 FIFA Club’s World Cup
🏆 x7 Bundesliga
🏆 x4 La Liga
🏆 x4 DFB Pokal
🏆 x3 UEFA Supercup
🏆 x1 FA Cup
🏆 x2 Copa del Rey
🏆 x2 Spanish Super Cup
🏆 x3 German Super Cup
🏆 x1 Carabao Cup
🏆 x1 Community Shield
Thiago ni mmoja kati ya viungo wa kati bora kuwahi kucheza mchezo huu,