Thiago Silva arejea Brazil
Sisti Herman
May 7, 2024
Share :
Baada ya kudumu kwa miaka zaidi ya 15 kwenye vilabu mbalimbali barani Ulaya kama AC Milan, PSG na Chelsea hatimaye beki kisiki na aliyewahi kuwa nahodha wa timu ya Taifa ya Brazil na vilabu vya Chelsea na PSG Thiago Silva amerejea kwenye ligi ya nyumbani Brazil kuendelea kuitumikia klabu yake ya utotoni kabla ya kwenda Ulaya Flumenense ambao ni Mabigwa wa bara la Amerika kusini.
Thiago Silva aliondoka Fluminense mwaka 2007 kujiunga AC Milan na sasa amerejea ambapo amesaini mkataba wa miaka miwili hadi mwaka 2026.