pmbet

Thiago Silva kuondoka mwisho wa msimu Chelsea

Sisti Herman

April 29, 2024
Share :

Baada ya kudumu kwa zaidi ya misimu minne akitokea PSG mwaka 2020, beki na nahodha wa klabu ya Chelsea Thiago Silva ambaye pia alikuwa nahodha wa Brazil ametangaza kuondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu.

Akiwa na Chelsea kwenye misimu hiyo minne, Thiago amecheza michezo 151 akishinda mataji makubwa kama Uefa Champions League, Uefa Super Cup na Ubingwa wa dunia wa klabu.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet