pmbet

Thuram kumrithi Mbappe PSG

Sisti Herman

April 14, 2024
Share :

Wakiwa mawindoni kutafuta mrithi wa mshambuliaji wao kinara Kylian Mbappe, klabu ya PSG imegonga hodi nchini Italia wakihitaji saini ya mshambuliaji wa Inter Milan Mfaransa mwenzao Marcus Thuram ambaye amekuwa na kiwango bora msimu huu.

Thuram hadi sasa kwenye ligi kuu nchini Italia (Serie A) amecheza michezo 29, akifunga mabao 10 na kutoa pasi za mabo 7 akizidiwa pasi moja ya bao na vinara wenye pasi 8 za mabao.

Thuram anatajwa kwenda kurithi pengo la Mbappe anayetajwa kuelekea Real Madrid mwishoni mwa msimu huu.

Je viatu vitamtosha?

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet