pmbet

Tielemans atambulishwa rasmi Man United

Sisti Herman

July 14, 2026
Share :

 

Kiungo wa kati raia wa Ubelgiji Youri Tielemans ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa Manchester United akitokea Aston Villa kwa ada ya pauni milioni 35, kulingana na taarifa rasmi.

Akiwa kwenye mahojiano rasmi na tovuti ya Manchester United Tielemans alisema "Nimepata fursa ya kufurahia mafanikio katika mchezo huu, na hilo limeongeza tu azma yangu ya kufikia mafanikio makubwa zaidi."

"Azma ya kila mtu klabuni hapa iko wazi kabisa... hapa Manchester United, sote tumeazimia kupigania mataji makubwa zaidi katika miaka ijayo," anaongeza Youri.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet