pmbet

Tiger Woods akamatwa kwa kuendesha gari akiwa amelewa

Eric Buyanza

March 28, 2026
Share :

Mchezaji maarufu wa mchezo wa gofu, Tiger Woods amekamatwa kwa tuhuma za kuendesha gari akiwa amelewa na hivyo kusababisha ajali katika jimbo la Florida.

 

Kwa mujibu wa Polisi, Woods mwenye umri wa miaka 50 alipinduka na gari lake aina ya Land Rover baada ya kugonga lori alipokuwa akijaribu kulipita kwa mwendo kasi katika eneo la Jupiter Island.
 

Baada ya tukio hilo, Woods aliwekwa chini ya ulinzi kwa muda kabla ya kuachiwa kwa dhamana.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet