pmbet

Tik-Tokers wa Kenya walipwa zaidi ya Tsh 900 Mil.

Sisti Herman

February 5, 2026
Share :

Kenya imeingia kwenye orodha ya mataifa ya Afrika yanayonufaika na programu ya TikTok for Business, baada ya Watengeneza wa Maudhui nchini humo kulipwa zaidi ya Tsh. Milioni 900 ndani ya Mwaka mmoja.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet