pmbet

Tiketi sasa basi, Mwendokasi kufungwa mageti ya kuchanja

Eric Buyanza

May 18, 2024
Share :

Zaidi ya shilingi za kitanzania Bilion 11 zimetumika kuagiza 'mageti janja 300' ambayo yanatarajiwa kufungwa katika vituo vya mabasi yaendayo kasi ili kuanza kutumika kwa kadi janja na kuachana na mfumo wa tiketi. 

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa TEHAMA wa Wakala wa Mabasi yaendayo Kasi (DART) Ngw’anashigi Gagaga wakati akizungumza na vyombo vya habari jana jijini Dar es Salaam.

Gagaga, amesema mfumo huo mpya unatarajiwa kuanza hivi karibuni pindi utakapokamilika na tayari mageti hayo yamekwisha wasili kutoka nchini China.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet