pmbet

Timu 7 za Afrika zimefuzu hatua ya 32 bora bado DRC na Algeria.

Joyce Shedrack

June 27, 2026
Share :

Timu 7 kutoka bara la Afrika zimefanikiwa kufuzu hatua ya 32 Bora kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2026 mpaka sasa huku Algeria na DR Congo zikiendelea kupigania nafasi zao katika mechi za mwisho za makundi.

PREVIEW: Senegal and Iraq seek to secure third place in final group match |  OneFootball

Timu za Afrika zilizofuzu hadi Hatua ya 32 Bora (Round of 32) hadi sasa:

Morocco
Afrika Kusini
Ivory Coast
Ghana
Misri

Cape Verde
Senegal

 

Algeria inahitaji alama moja dhidi ya Austria katika mchezo utakaopigwa alfajiri ya leo ili kufikisha alama 4 zitakazomuwezesha kufuzu huku DR Congo ikihitaji ushindi dhidi ya Uzbakistan kwenye mchezo wa mwisho ili kufuzu.

 

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet