Timu ya Ligi ya Uswisi yavaa Bendera na vivutio vya Tanzania
Sisti Herman
August 17, 2026
Share :

Nahodha wa FC Bavois ( @fc_bavois_officiel ) klabu inayoshiriki Ligi daraja la pili nchini Uswisi akionekana kwenye picha akiwa amevaa kitambaa cha Unahodha ambacho kina rangi ya bendera ya Tanzania.
Hii ni muendelezo wa kuendelea kuitangaza Tanzania kupitia kampeni ya @visitkaratu.co.tz ambayo ipo chini ya kocha Msaidizi wa timu hiyo @renatusnjohole ambaye ni nyota wa zamani wa Simba SC na Taifa Stars.





