Timu ya Tanzania Olympic ipo tayari kwa mashindano
Sisti Herman
July 26, 2024
Share :
Makamu wa Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) Henry Tandau ambaye pia ni mkuu wa msafara wa ujumbe wa Tanzania katika Michezo ya Olimpiki itakayofunguliwa rasmi kesho jijini Paris na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, akiwa katika ofisi za Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki kukagua. mavazi rasmi ya Timu ya Tanzania katika ufunguzi huo kesho.
Mkuu huyo wa msafara amesema kuwa wawakilishi wa Tanzania wapo tayari kuipeperusha vyema bendera ya nchi kwenye michuano hiyo mikubwa zaidi kukutanisha michezo yote duniani.