Timu za Taifa za Afrika zenye thamani kubwa, Tanzania ya 42
Sisti Herman
September 29, 2026
Share :
Wakati huu timu za Taifa zikiwa kwenye ratiba za mechi za mapumziko ya FIFA International Break ambapo kwa bara la Ulaya wakiendelea na michuano ya UEFA National League na Afrika wakiendelea na Mechi za kuwania kufuzu AFCON 2027,
Hii chini ni orodha ya timu za taifa barani Afrika zenye thamani kubwa zaidi, kwenye orodha hiyo Timu ya Taifa Tanzania ipo nafasi ya 42.



Chanzo; Transfermarkt





