pmbet

Timu za Uingereza zimekuwa vibonde kwa PSG

Sisti Herman

October 16, 2026
Share :

 

PSG sasa hawajafungwa katika michezo yao 10 iliyopita dhidi ya timu za Kiingereza kwenye Ligi ya Mabingwa.

โœ… 0-1 dhidi ya Arsenal
โœ… 2-1 dhidi ya Arsenal
โœ… 5-3 dhidi ya Tottenham
๐Ÿค 1-1 dhidi ya Newcastle
โœ… 5-2 dhidi ya Chelsea
โœ… 0-3 dhidi ya Chelsea
โœ… 2-0 dhidi ya Liverpool
โœ… 0-2 dhidi ya Liverpool
๐Ÿ† 1-1 dhidi ya Arsenal (walishinda 4-3 kwa penalti)
โœ… 2-4 dhidi ya Man City

โ€œNatumai tutaendelea kucheza dhidi ya timu za Kiingereza,โ€ alisema Luis Enrique, Kocha mkuu wa PSG baada ya ushindi mwingine jana.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet