pmbet

Tiwa Savage amjibu mwanaume aliyesema yeye sio mrembo

Eric Buyanza

June 26, 2025
Share :

Mwanamuziki wa Nigeria, Tiwa Savage, amemjibu mwanaume aliyekosoa picha zake kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram.

Akizungumzia picha hiyo kwenye sehemu ya maoni, mwanaume aliyejitambulisha kama ‘Nutefobayo’ alikosoa sura ya Tiwa Savage akisema anaonekana mrembo tu kwenye picha lakini sio kiuhalisia.

Haya ndiyo maneno yake: 
"Picha zinafanya baadhi ya watu kuwa wazuri. Tiwa sio mrembo kiasi hiki katika maisha halisi," 

Tiwa akamjibu: 
"Mimi ni mkali zaidi katika maisha ya uhalisia. Sema tu unataka kukutana na mimi ana kwa ana, lakini utapata aibu".

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet