pmbet

TMA yatoa tahadhari ya Mvua

Sisti Herman

March 20, 2026
Share :

 

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imetoa tahadhari ya uwepo wa vipindi vifupi vya mvua kubwa katika maeneo machache ya mikoa ya Kigoma, Katavi, Rukwa, Songwe, Geita, Mwanza, Mara, Simiyu, Kilimanjaro, Arusha, Manyara, Tanga, Dar es salaam na Pwani ikijumuisha Visiwa vya Mafia pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba.

Kwa mujibu wa taarifa ya utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 kuanzia jana Machi 19, 20206, TMA imesema mikoa ya Tanga, Dar es salaam, Visiwa vya Unguja , Morogoro, Mtwara lindi, Dodoma na Kilimanjaro inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua .

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet