pmbet

Tomiyasu alamba mkataba mpya Arsenal

Eric Buyanza

March 20, 2024
Share :

Klabu ya ArsenaL imethibitisha kuwa beki wao Takehiro Tomiyasu amesaini mkataba mpya utakaoendelea kumuweka klabuni hapo hadi June mwaka 2026.
 

“Ni ndoto kuchezea klabu hii”, amesema Tomiyasu mara baada ya kusaini kandarasi hiyo.
 

Mjapani huyo alijiunga na Arsenal Agosti 2021 akitokea klabu ya Bologna ya Serie A.
 

Tomiyasu mwenye umri wa miaka 25 tangu asajiliwe amecheza nafasi zote katika safu ya ulinzi.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet