pmbet

Toni Kroos kurejea Madrid kama kiongozi

Sisti Herman

April 30, 2026
Share :

 

Real Madrid wapo kwenye mazungumzo na Toni Kroos kwa ajili ya KUREJEA klabuni hapo katika nafasi mpya yenye majukumu MUHIMU kwa mujibu wa ripoti ya mwandishi maarufu wa Hispania Mario Cortegana

Real Madrid wanafikiria kumuongeza Toni Kroos kwenye kurugenzi yao wao wa UFUNDI na MICHEZO, kama ilivyo kuwa Zidane mwaka 2010 ambaye alijiunga na nafasi ya mshauri, kabla ya kuwa kocha.

Real Madrid inamwona Kroos kama mali ya THAMANI linapokuja suala la maamuzi kuhusu UPANGAJI WA KIKOSI, na kutoa usaidizi wa kila siku kwenye UWANJA WA MAZOEZI.

Atafanya kazi kwa ukaribu na watoa maamuzi WAKUU wa kilabu, akiwemo Florentino Perez, JAS na Juni Calafat.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet