pmbet

Tottenham wako tayari kupambana na Man u, Man city na Liverpool

Eric Buyanza

January 10, 2024
Share :

Tottenham wako tayari kujiunga kwenye kinyang'anyiro cha kupambania saini ya kiungo wa Middlesbrough Hayden Hackney.
 

Hackney mwenye umri wa miaka 21 pia anawindwa na klabu za Manchester City, Manchester United pamoja na Liverpool.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet