Tozo kuongezwa tena kwenye pombe!
Eric Buyanza
December 7, 2023
Share :
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa wito wa kuongezwa kwa ushuru kwenye Bidhaa za Pombe na Vinywaji vya Sukari ili kupunguza idadi ya Watu wanaofariki kutokana na Unywaji Pombe na Ulaji usiofaa.
Kwa mujibu WHO, Watu milioni 2.6 hufariki kila Mwaka kutokana na kunywa Pombe huku Watu milioni 8 wakifariki kutokana na Ulaji usiofaa.