pmbet

TRA yawapika waandishi wa mitandaoni (Digital)

Eric Buyanza

May 29, 2024
Share :

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefanya semina na waandishi wa habari wa mitandaoni mapema leo mei 29,2024 jijini Dar es salaam na kuwapatia elimu ya jinsi mapato yanavyoweza kukuza maendeleo ya nchi.

Akizingumza Mkurugenzi wa Elimu kwa mlipakodi na mawasiliano wa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) Hudson Kamoga amesema ni haki ya kila mtanzania kudai risiti ili kuweza kusaidia miradi ya kimaendeleo kufanyika kupitia kodi zinazolipwa na wananchi.

"Unapoacha kudai risiti unakuwa umemsaidia muuzaji kupunguza kiasi cha kodi anachotakiwa kulipa" alisema.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet