pmbet

Trabzonspor yachemka kufika bei ya Onana kutoka Man Utd

Eric Buyanza

March 7, 2026
Share :

Jaribio la Manchester United la kumuuza Andre Onana moja kwa moja limegonga mwamba baada ya timu ya Trabzonspor kushindwa kufika bei iliyoombwa na Mashetani Wekundu.

 

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Cameroon, ambaye alihamia Old Trafford kutoka Inter mnamo Julai 2023 kwa mkataba wenye thamani ya takriban pauni milioni 47, na kutokana na taarifa hiyo kutoka Trabzonspor anajikuta katika hali ya sintofahamu kabla ya dirisha la uhamisho la kiangazi.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet