Traore afufua shirika la ndege la Air Burkina
Sisti Herman
September 1, 2025
Share :
Rais wa Burkina Faso Capt. Ibrahim Traore ameripotiwa kulifufua upya shirika la ndege la taifa la nchi hiyo, Air Burkina.
Sambamba na hatua hiyo ya kufufua Air Burkina, Shirika la ndege limeanza vyema kwa kukamilisha ununuzi wa ndege mpya aina ya Embraer E190LR.