pmbet

Traore wa TP Mazembe afungiwa na FIFA miezi menne nje

Sisti Herman

April 2, 2026
Share :

 

FIFA wamemfungia Fily Traoré kwa miezi 4 baada ya kukatisha mkataba wake na TP Mazembe kinyume cha sheria.

 

Pia ameagizwa kulipa fidia ya $138,225.81 (zaidi Tsh 2 Bil.), pamoja na asilimia 5 ya riba ya kila mwaka kuanzia Oktoba 12, 2024, hadi malipo kamili.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet