Traore: Wanatuma vitisho kunionya kwamba nitakufa kama Gaddafi na Thomas
Sisti Herman
October 23, 2025
Share :

“Wanatuma vitisho na kuendelea kunionya kwamba nitakufa vibaya kama Gaddafi, Thomas Sankara, au kiongozi mwingine yeyote kijana aliyejaribu kuiboresha na kuipambania Afrika, Siogopi chochote na wala sitajutia kufa kwa ajili ya watu wangu.”
Kapteni Ibrahim Traoré, Rais wa Burkina Faso





