Trump aponda Half Time Show ya Super Bowl
Sisti Herman
February 9, 2026
Share :

Rais wa Marekani Donald Trump amedai kuwa 'show' ya Bad Bunny kwenye Half Time Show Super Bowl ya ilikuwa mbaya sana na "ameiharibu" Super Bowl halftime show.
Trump hakuridhika na show ya Bad Bunny, akisema ilikuwa mbaya sana na isiyoendana na kanuni alizoziona zikiwakilisha Marekani.





