pmbet

Trump awamaindi waliokataa kumsaidia vita na Iran

Eric Buyanza

April 10, 2026
Share :

Rais Donald Trump wa Marekani amesema atafanya 'mchanganuo' kwa Uingereza na washirika wengine wa NATO ambao walikataa kujihusisha na vita vya Iran.

 

Utawala wa Marekani umedokeza kwamba unaweza kuondoa vikosi vyake vya kijeshi kutoka nchi zinazoonekana hazikuwa upande wake kwenye vita yake na Iran.
 

Marekani ina kambi 13 na wanajeshi wa anga wapatao 10,000 na wafanyakazi wengine nchini Uingereza, na kujiondoa kwao kutaleta athari kubwa ya kiusalama na kiuchumi.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet