pmbet

Trump azindua viatu vya gharama

Sisti Herman

February 18, 2024
Share :

Rais mstaafu wa Marekani, Donald Trump amezindua viatu vyake vilivyopewa jina la 'Never Surrender High Top'.

 

Mpaka sasa Trump amesambaza jozi elfu moja tu za viatu hivyo ambavyo bei yake ni Dola za Kimarekani 399, sawa na shilingi mil 1.01 za Kitanzania akiwa rais wa kwanza kuuza viatu.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet