pmbet

Trump kuwa mgeni rasmi fainali FIFA CWC

Sisti Herman

July 10, 2025
Share :

 

Rais wa Marekani Donald Trump, amesema atahudhuria katika mchezo wa fainali ya Kombe la Dunia la Klabu kati ya Chelsea na PSG, utakaopigwa katika dimba la MetLife Stadium liliopo jijini New Jersey Jumapili baada ya shirikisho la soka duniani FIFA kutangaza kufungua ofisi katika jengo lake la Trump Tower jijini New York

Trump ametangaza uamuzi huo katika kikao cha baraza la mawaziri jana Jumanne jioni Katika hatua inayotafsiriwa na wengi kama hatua ya Rais huyo mfanyabiashara kulipa fadhila kutokana na kitendo cha FIFA kufungua ofisi katika jengo lake.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet