Trump: Ronaldo ni maarufu kuliko Rais wa Ureno
Sisti Herman
October 6, 2026
Share :

Rais wa Marekani Donald Trump ametoa kauli ya utani kwa Rais wa Ureno António José Seguro kuhusu Cristiano Ronaldo kuwania urais.
Rais wa Ureno: “Usisahau kwamba Ureno ina mchezaji bora duniani, Cristiano Ronaldo. Nina uhakika mwanao anamfahamu.”
Trump: “ Yeye ni mchezaji bora duniani, Kama Cristiano Ronaldo angegombea urais dhidi yako, usingeshinda.”
Rais wa Ureno: “Unajua nini? Lazima niseme, kwa bahati nzuri hilo haliwezekani. Marekani ni tofauti.”
Kwa ufupi, Trump alimaanisha: ‘Ronaldo ni mtu mkubwa zaidi kuliko rais nchini Ureno.’





