pmbet

"Tulikuwa hovyo sana, tunaomba radhi" - Pochettino

Sisti Herman

February 5, 2024
Share :

Baada kipigo cha goli 4-2 kutoka kwa Wolves, kocha wa Chelsea  Mauricio Pochettino amewaomba radhi mashabiki wa klabu hiyo na kukiri kuwa walikuwa na kiwango cha hovyo zaidii uwanjani

 

“Nataka kuwaomba radhi mashabiki. Ilikuwa siku ngumu kwa kila mtu – kwa wachezaji, kwetu na pia kwa mashabiki”.

"Tulifanya makosa ambayo huwezi kumudu kufanya kwenye Ligi Kuu kwani sote tumesikitishwa sana".

"Tumekatishwa tamaa kama dans lakini hadi mwisho tunahitaji kupigana pamoja kwani tunahisi shinikizo".

"Sote hatuko vizuri vya kutosha [sio wachezaji pekee]. Huu ndio ukweli. Mimi mwenyewe, pia. ”.

 

Huo ulikuwa ujumbe wa kocha huyo baada ya mchezo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet