Tumechoka kuambiwa vijana ni taifa la kesho – Salum Mwalim
Eric Buyanza
August 23, 2025
Share :
"Tumechoka kuambiwa vijana ni taifa la kesho, mwaka huu ni zamu yetu Ikulu.Haitusaidii kususia uchaguzi halafu tunakaa kwenye mitandao na kuanza kuandika nukuu ngumungumu au tamutamu za vifungu vya biblia au za Qur'an huku tumeiacha CCM itambe yenyewe kwenye Kata, Majimbo na Urais."
"Tusiposhiriki kwenye uchaguzi, hatutokuwa na uwezo wa kusema wameiba, Masela wenzangu, twendeni tukashiriki na tukapigie kura mabadiliko, tukachore mstari wa vijana kuingia Ikulu."-Salum Mwalimu
NIPASHE