Tuna hasira sana - Ali Kamwe
Eric Buyanza
October 16, 2026
Share :
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema wana hasira na hawajui wazungumze maneno gani kuonesha hasira zao.
Kamwe ametoa kauli hiyo siku tano baada ya Yanga kupoteza pambano la Derby dhidi ya Simba kwa kufungwa 2-1.
“Sijui kwa maneno kama mtatuelewa. In Shaa Allah Jumamosi (kesho) Ifike tu mapema Wanangu pale Azam Complex Tutaelewana” ameandika Kamwe.






