pmbet

"Tunafunga sana magoli lakini tunaruhusu zaidi kufungwa magoli " - Pochettino

Sisti Herman

April 8, 2024
Share :

Baada ya sare ya 2-2 dhidi ya vibonde wanaoshika mkia kwenye ligi kuu Uingereza Sheffield United, Kocha mkuu wa Chelsea Mauricio Pochettino amesema kuwa udhaifu mkubwa wa timu yake sio kufunga mabao bali ni namna wanavyoruhusu kirahisi kufungwa mabao.


” Tumekuwa na kiwango cha chini kwa miezi michache iliyopita kwa kukosa muendelezo mzuri wa kiwango leo tunacheza vizuri kesho tunaharibu”

“ Hakuna beki ya timu inayoweza kuzuia sisi tusiwafunge ila shida hata tukifunga tumekosa ubora wa kuzuia lazima tufungwe tunaitaji kuboresha eneo hilo”...

Alisema Pochettino ambaye hadi sasa anaiongoza Chelsea kwenye nafasi ya 9 ikiwa na alama 44 kwenye michezo 30 ya ligi hiyo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet