Tunapenda sana upuuzi na vitu vyepesi vyepesi - Jemedari
Eric Buyanza
May 16, 2024
Share :
Kupitia ukurasa wake wa Instagram mchambuzi wa michezo maarufu kutoka Efm, Jemedari Said, ameandika yafuatayo;
"Bakhresa anajifudisha namna ya kuwa tajiri kwa ‘Muuza Karanga’ wa Mbagala. 😂😂
Hii nchi tunapenda sana upuuzi na vitu vyepesi vyepesi na watu wanatupa tunavyotaka.
BIN KAZUMARI MTIPA (The voice of the voiceless)
Je, anamlenga nani?