pmbet

"Tunatamani watoto wa kiume waoe walete familia, sasa wanaolewa wao, ndio dunia inafutika ujue!"

Eric Buyanza

January 3, 2024
Share :

"Tuzungumze na vijana ubaya wa hili jambo la ushoga bila kung'ata maneno, na serikali za nchi zetu...viongozi wote wa dini tuseme na vijana.....vijana wanaingia kwenye mabadiliko...lolote linaweza kutokea."
 

"Vijana wa leo mambo haya ya ushoga wakati mwingine yana hela, vijana wa leo fedha hawana maisha magumu ni rahisi wakati mwingine kuingia kwenye changamoto hii....tuseme nao ubaya wa hili jambo na kumkosea mungu"
 

"Tunatamani watoto wa kiume waoe walete familia duniani, sasa wanaolewa wao kuna familia hapo? ndio dunia inafutika ujue! ....kutakuwa hakuna watu wanaokaa....kiwanda cha mungu cha familia ni mke na mume sio mume na mume" anasema Mchungaji Richard Hananje.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet