pmbet

"Tunawataka Mamelodi siku ya Wananchi" - Ali Kamwe

Sisti Herman

April 7, 2024
Share :

Mara baada ya kuwafurushwa na Mamelodi Sundowns kwenye robo fainali ya ligi ya mabingwa Afrika kwa mbinde, Afisa habari na mawasiliano wa klabu ya Yanga Ali Kamwe ameweka wazi kuwa amewasiliana na Rais wa klabu hiyo awalete Mabingwa hao AFL kwenye kilele cha siku ya Wananchi kijacho.

 

“Nimemuomba Rais wa Yanga @caamil_88 kwenye kilele cha wiki ya Wananchi kuufungua msimu mwa 2024/25 apambane atuletee Mamelodi Sundowns, na Sisi bado hatujamalizana nao”

 

Aliandika ujumbe huo Ali Kamwe kupitia ukurasa wake wa X.

 

Wananchi wana kisasi na Masandawana.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet