pmbet

“Tusikilize ushauri wa Prof. Janabi na kuufuata badala ya kumbeza” - Rais Samia

Eric Buyanza

March 2, 2024
Share :

Akiongea leo Zanzibar kwenye maziko ya Rais mstaafu wa Tanzania, Hayati Ali Hassan Mwinyi.

Rais Samia Suluhu Hassn amesema....

"Profesa Janabi anaendeleza nasaha za Mzee Mwinyi katika kuhimiza jamii kutunza afya. Tumsikilize na kufuata ushauri wake badala ya kumbeza!
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet