Tuzo binafsi Afcon 2023
Sisti Herman
February 12, 2024
Share :
Hawa hapa ndiyo washindi wa tuzo binafsi za Afcon 2023;
1. Mchezaji bora wa mashindano - William Troost-Ekong ( Nigeria)
2. Mfungaji bora wa mashindano - Emilio Nsue ( Eq. Guinea )
3. Golikipa bora wa mashindano - Ronwen Williams ( S. Afrika)
4. Mchezaji bora chipukizi - Simon Andigira (Ivory Coast)
5. Kocha bora wa mashindano - Emerse Fae (Ivory Coast)
6. Timu yenye Nidhamu - Afrika kusini