Tyla awakimbiza mastaa wakubwa Afrika kwenye 'digital Platforms'
Sisti Herman
May 20, 2024
Share :
Msanii wa Afrika Kusini, Tyla amekuwa msanii wa Kiafrika aliyesikiszwa zaidi kwenye mtandao wa mziki wa Spotify, na kuwapiku Rema, Burnaboy na Davido.
Pia, wimbo wake wa Water, umetazamwa zaidi ya milioni 170 kwenye YouTube, huku densi na ngoma yake ya kuandamana ikawa maarufu zaidi kwenye TikTok.
Pia ilimpatia Tuzo ya Grammy ya “Best African Music Performance” – ikiwa ni ya kwanza katika kitengo chake kwenye Tuzo za Grammys.