Tyla kuimba wimbo wa Taifa wa Afrika kusini leo ufunguzi kombe la dunia
Sisti Herman
June 11, 2026
Share :

Mwanamuziki wa Afrika kusini na mshindi wa tuzo za Grammy, Tyla leo anatarajiwa kutumbuiza wimbo wa taifa wa Afrika Kusini katika sherehe za ufunguzi wa Kombe la Dunia leo nchini Mexico.
Tyla amesema yuko tayari kutoa mojawapo ya matukio ya kukumbukwa zaidi ya wimbo wa taifa katika historia ya Kombe la Dunia.





