pmbet

Tylor Swift azua gumzo baada ya kuvalishwa pete na mchumba wake.

Joyce Shedrack

August 27, 2025
Share :

Staa wa muziki kutoka Marekani Taylor Swift amevalishwa pete ya uchumba na mpenzi wake wa muda mrefu Travis Kelce.
Inside Taylor Swift's $1 million engagement ring from Travis Kelce
Taylor Swift amethibitisha hilo kupitia mitandao yake ya kijamii akiweka wazi kuwa penzi lao limekaribia kufikia kwenye hatua nzuri ya kufunga ndoa.
"Mwalimu wako wa Kiingereza pamoja na mwalimu wako gym wanaenda kuoana.

Wawili hao walianza kuwa penzini tangu mwaka 2023 na mpaka sasa wanakaribia kwenye hatua kubwaya kuhalalisha penzi lao.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet