pmbet

UEFA, CONCACAF na AFC wakaza, Infantino atoke

Sisti Herman

August 10, 2026
Share :

 

Mashirikiso ya soka ya mabara ya Ulaya (UEFA), Amerika kaskazini (CONCACAF) na Asia (AFC) yameandika barua ya pamoja kushughulikia wasiwasi unaoendelea kuhusu FIFA na rais wake, Gianni Infantino.

"Uongozi katika soka si mali binafsi. Hauhusu kushikilia — au kudai kushikilia — madaraka. Ni wajibu wa kuhudumia familia ya soka iliyokabidhi dhamana hiyo."

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet