Ufaransa haijawahi kupoteza mchezo, Pogba na Kante wakiwa dimbani
Sisti Herman
June 6, 2025
Share :
Je wajua...?! Ikiwa na viungo wa shoka Paul Pogba na Ng'olo Kante pamoja dimbani, timu ya Taifa ya Ufarnsa haijawahi kupoteza mchezo.
Pogba na Kante wakiwa dimbani, Ufaransa imecheza mechi 40 na haijawahi kufungwa.
Wawili hao ni washindi wa kombe la dunia na timu hiyo ya taifa mwaka 2018.