pmbet

Uganda: Bunge lapendekeza kuongeza muda wa uongozi hadi miaka 7

Sisti Herman

April 16, 2026
Share :

 

Wizara ya Sheria na Masuala ya Katiba nchini Uganda imethibitisha kupokea pendekezo la kuongeza muda wa uongozi wa Bunge na Serikali kutoka miaka 5 hadi 7.

Pendekezo hilo linaelezwa kuwa bado liko katika hatua za kuzingatiwa kama sehemu ya marekebisho mapana ya Katiba ya nchi hiyo.

Waziri wa Sheria, Norbert Mao, amesema mchakato huo unasimamiwa na Tume ya Marekebisho ya Sheria ya Uganda.

Amesisitiza kuwa baada ya takribani miaka 30, kuna umuhimu wa kufanya mapitio ya Katiba kwa uwazi, ushirikishwaji na ufanisi zaidi.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet